Bog & idé

Ronin 3 - Mkuki

0.0
Swahili
Ronin anakumbana na changamoto kali na kujifunza kuwa wakati mwingine, hata katika maadui, kuna mengi zaidi ya tunavyofikiri. Anapojifunza kuhusu maisha yake ya zamani, baba yake na mkuki, maswali men...

E-bog

9,95 DKK

Forlagsbeskrivelse af Ronin 3 - Mkuki af Jesper Nicolaj Christiansen

Ronin anakumbana na changamoto kali na kujifunza kuwa wakati mwingine, hata katika maadui, kuna mengi zaidi ya tunavyofikiri. Anapojifunza kuhusu maisha yake ya zamani, baba yake na mkuki, maswali mengi zaidi yanaibuka. Katika tukio la hivi karibuni, Ronin alikaribia kujua yeye ni nani na jinsi gani anaweza kuwasaidia wale wote anaowajali sana. Mvulana anaamka msituni bila kukumbuka ya yeye ni nani au atokako. Kupitia mfululizo huu, Ronin anapitia matukio mengi ambayo yanamsukuma ukingoni. Njiani, anakutana na watu ambao wanamsaidia kukua na kujifunza mambo yaliyo muhimu. Kwa usaidizi wa mkuki wake wa ajabu na nguvu anazozipata kutoka kwenye mkuki huu, Ronin anapigana kwa wema. Kwa kila tukio jipya, Ronin anakaribia zaidi na zaidi kujitambua hakika yeye ni nani. Jesper Christiansen (b. 1972) ni mwandishi wa asili ya Kideni. Amehitimu katika Shule ya Uandishi wa Hadithi za Watoto na yeye huandika hadithi za matukio na za kubuni za watoto wa kila umri.

Uddrag

Læs uddrag

Ronin 3 - Mkuki

Detaljer

Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726254716
Sprog
Swahili
Originaltitel
Ronin 3 - Mkuki
Udgivelsesdato
27-08-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
72 KB
Varenr.
2724911
EAN nr.
9788726254716
Varegruppe
Lydbøger

Anmeldelser Ronin 3 - Mkuki

Brugernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Mediernes anmeldelser
Vurderet 0 ud af 5 baseret på 0 vurderinger
Se detaljer her

Uddrag

Læs uddrag

Ronin 3 - Mkuki