Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi
0.0
( 0 )
Swahili
"Anakanyaga kwenye ardhi na kuzima injini, na ghafla anapovua helmeti yake na kuzitikisa nywele zake zilizomfika mabegani ili zisimame vyema kichwani, inanifanya nijihisi kuwa nimepumbazika. Mzizimo u...
Forlagsbeskrivelse af Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi af Linda G
"Anakanyaga kwenye ardhi na kuzima injini, na ghafla anapovua helmeti yake na kuzitikisa nywele zake zilizomfika mabegani ili zisimame vyema kichwani, inanifanya nijihisi kuwa nimepumbazika. Mzizimo unanikimbia mwilini mwangu. Siwezi kudhibiti msukumo unaoyafanya macho yangu yamwangalie kwa juu, na ninafanya hivyo bila kusita. Macho yetu yanapokutana, mawimbi ya nguvu za umeme yananipita mwilini mwangu. Ninasahau kabisa kupumua, hadi pale ambapo mapafu yangu yanapoanza kudai pumzi ndipo ninapovuta hewa nyingi ndani."
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Linda G. ni mwandishi wa Kideni wa hadithi fupi za ashiki.
Detaljer
Forlag
LUST
ISBN
9788726216554
Sprog
Swahili
Originaltitel
Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Udgivelsesdato
11-09-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
53 KB
Varenr.
2683907
EAN nr.
9788726216554
Varegruppe
Lydbøger
Bogens kategorier Klik på en kategori for at se lignende bøger
Anmeldelser Kahaba wa Kiume - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Brugernes anmeldelser
Andre har også kigget på
Som medlem af Klubben sparer du 50% fragten og optjener point, når du handler | Medlemskab til 0 kr. uden binding og gebyrer.