Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi
0.0
( 0 )
Swahili
"Nilikigeuza kichwa kwa haraka na kumwona akiwa amesimama katika dirisha la katika la chumba kikuu, akiwa amenikazia macho. Baadaye alitoka nje akiwa bado kwenye kanzu lake refu la kijapani lenye pich...
Forlagsbeskrivelse af Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi af Marianne Sophia Wise
"Nilikigeuza kichwa kwa haraka na kumwona akiwa amesimama katika dirisha la katika la chumba kikuu, akiwa amenikazia macho. Baadaye alitoka nje akiwa bado kwenye kanzu lake refu la kijapani lenye picha za korongo. Alinipokeza glasi ya maji ya barafu. Niliiweka glasi kwenye kinywa changu na kufikiria jinsi mwili wake ulivyo akiwa uchi,"
Henry ni mfanyakazi katika tango la mafuta katika Bahari ya Kaskazini. Yeye hufanya kazi kwa mfululizo wa saa 12, kila siku, kwa kipindi cha siku 14. Baada ya wiki mbili yeye huenda kwenye nchi kavu ili kupumzika, kutangamana na marafiki zake na wenzake anaofanya nao kazi wasio na familia kama yeye. Yeye hutumia muda wake mwingi usiku na wanawake, akiwapa raha na kuziachia hisia zake kuwa huru. Ifikapo asubuhi, yeye huwaaga na kuondoka. Sheria yake ni rahisi: mwanamke mpya kila usiku. Ni katika tukio moja tu ambapo anakiuka sheria hii. Jina lake ni Clara.
Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Marianne Sophia Wise ni mwandishi wa hadithi za ashiki.
Detaljer
Forlag
LUST
ISBN
9788726216561
Sprog
Swahili
Originaltitel
Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Udgivelsesdato
11-09-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
64 KB
Varenr.
2683923
EAN nr.
9788726216561
Varegruppe
Lydbøger
Bogens kategorier Klik på en kategori for at se lignende bøger
Anmeldelser Mfanyakazi wa Sulubu - Hadithi Fupi ya Mapenzi
Brugernes anmeldelser
Andre har også kigget på
Som medlem af Klubben sparer du 50% fragten og optjener point, når du handler | Medlemskab til 0 kr. uden binding og gebyrer.