FC Mezzi 5: Tisa Upande Mmoja
0.0
( 0 )
Swahili
En del af FC Mezzi
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!
FC Mezzi wanaanza muhula mpya, na lazima wajifunze kucheza tisa kila upande. Ni aina mpya ya mchezo kwenye wanja mkubwa na kanuni za kuot...Forlagsbeskrivelse af FC Mezzi 5: Tisa Upande Mmoja af Daniel Zimakoff
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!
FC Mezzi wanaanza muhula mpya, na lazima wajifunze kucheza tisa kila upande. Ni aina mpya ya mchezo kwenye wanja mkubwa na kanuni za kuotea. Wanamiliki hata nyumba ya kilabu, na wanaizindua kwa They even have their own clubhouse, and they are consecrating it with a horror sleepover. Jake akaushika mkono wa Ursula gizani. Je, anakuwa mpenzi wake wa kwanza? Kisha anasikia kwamba wasichana wanafikiria kuondoka kwenye timu ili kiucheza tenisi. Ghafla Jake anaacha kutenda kama nahodha halisi.
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo!
Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.
Detaljer
Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726254648
Sprog
Swahili
Originaltitel
FC Mezzi 5: Tisa Upande Mmoja
Udgivelsesdato
27-08-2019
Format
E-bog
E-bog format
REFLOWABLE
Filtype
Epub
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
78 KB
Varenr.
2724962
EAN nr.
9788726254648
Varegruppe
Lydbøger