Mazingira - mahali pa kuotea moto
0.0
( 0 )
Swahili
En del af Saga Sounds
Tulia ukisikiliza sauti za maumbile.
Kuni katika mahali pa kuotea moto zinachomeka, na joto linaenelea ndani ya chumba. Saa ya zamani inaendelea kugonga, na paka anajinyoosha na kukoroma sakafuni....Forlagsbeskrivelse af Mazingira - mahali pa kuotea moto af Rasmus Broe
Tulia ukisikiliza sauti za maumbile.
Kuni katika mahali pa kuotea moto zinachomeka, na joto linaenelea ndani ya chumba. Saa ya zamani inaendelea kugonga, na paka anajinyoosha na kukoroma sakafuni. Umekaa kwenye kiti chenye starehe, ukitulia huku ukifirikia moto ulio mbele yako.
Utafiti umeonyesha kwamba sauti za maumbile zinaweza kuwa na athari ya kutuliza na kusisimua kwenye ubongo. Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini. Sauti iliyobuniwa vizuri huunda mazingira ya kutuliza, yanayojulikana pia kama "mazingira", ambayo unaweza kuyaingia mahali popote na wakati wowote utakao.
Sauti za Saga ni mfuatano wa sauti maridadi na mbalimbali za mazingira, ambazo unaweza kusikiliza ili kutulia, ukienda kulala au ukiwa kazini.
Uddrag
Prøvelyt
Mazingira - mahali pa kuotea motoDetaljer
Serie
Forlag
SAGA Egmont
ISBN
9788726266542
Sprog
Swahili
Originaltitel
Mazingira - mahali pa kuotea moto
Udgivelsesdato
19-07-2019
Format
Lydbog
Filtype
zip_mp3
DRM beskyttelse
DigitalVandmaerkning
Datamængde
193629 KB
Varenr.
2664774
EAN nr.
9788726266542
Varegruppe
Lydbøger